News

PAUNI 206 milioni zilizotumika kwenye usajili wa mastaa wapya dirisha hili zimemweka mchezaji bora wa Manchester United ...
PICHA za uwanjani zimenasa chupa ya maji ya kipa Jordan Pickford, ambayo ameweka maelezo ya wachezaji wa timu pinzani jinsi wanavyopiga penalti zao ili kuzidaka kama alivyofanya dhidi ya ...
DROO ya kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake kutoka Ukanda wa Afrika Masharikia na Kati (Cecafa) inatarajiwa ...
KOCHA wa Namungo, Juma Mgunda anajiandaa kutua kambini jijini Dodoma ikiwa ni siku chache tangu atoke katika majukumu ya timu ...
Mbeya City iko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo raia wa Nigeria, Paschal Onyedika Okoli, ikiwa ni ...
BABA wa mchezaji Jobe Bellingham ameripotiwa kumvaa bosi wa Borussia Dortmund nje ya vyumba vya kubadilishia baada ya mwanaye ...
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua jijini Cairo, Misri kujiandaa na msimu mpya wa mashindano, lakini kuna straika mmoja ...
WINGA wa zamani wa Azam FC, Gibril Sillah ameshindwa kujizuia na kummwagia sifa nyota wa timu hiyo, Tepsie Evans akisema ...
MSHAMBULIAJI mpya wa Namungo, Herbert Lukindo amesema amejipanga vyema kuhakikisha anafanya vizuri na kikosi hicho na kuziba ...
KIMENUKA. Ndicho unachoweza kusema baada ya mashabiki wa Manchester United kuripotiwa kutoa maoni ya kutaka kocha Ruben ...
TABORA United iliyopiga kambi yake Magomeni jijini Dar es salaam, kujiandaa na msimu mpya wa 2025/26, imeendelea kufanya ...
MASTAA wa timu ya taifa la Morocco kila mmoja amevuta mamilioni ya fedha kama bonasi kutoka kwa chama chao cha soka (FRMF) ...