News

Pacha walioungana, Abby na Brittany Hensel wametumia zaidi ya miaka 30 ya maisha yao wakiishi kwa mshikamano wa kipekee, ...
Watu 79 wakiwemo watoto 19, wamefariki dunia baada ajali ya basi iliyotokea katika jimbo la Herat, kaskazini magharibi mwa ...
Licha ya kuenea kwa elimu kuhusu madhara ya kiafya yatokanayo na nishati chafu za kupikia, bado familia nyingi nchini ...
Hatimaye kiu ya muda mrefu ya wakazi wa Mbagala inakwenda kupata ahueni baada Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (Dart) kusema ...
Shirika la World Vision Tanzania limetimiza miaka 20 ya kutoa huduma za afya kwa watoto na jamii wilayani Nzega, mkoani ...
Shirika la Huduma za Elimu la Aga Khan (AKES) kwa kushirikiana na Benki ya DTB limetoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amethibitisha kushikiliwa kwa watuhumiwa ambao walibainika kufuatia ...
Serikali imetoa zaidi ya Sh900 milioni kwa ajili ya kukarabati na kuboresha miundombinu na majengo ya Hospitali ya Mji wa ...
Katika kutatua changamoto za watu wenye ulemavu, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imetaja hatua inazochukua ikiwa ni ...
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ipo katika hatua za mwishoni kuufanya muziki wa singeli kuingia kwenye orodha ...
Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah ameibuka mshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka ya Ligi Kuu England inayotolewa ...
Mashindano hayo yaliyofikia awamu ya 12, yamewaleta pamoja viongozi wa makampuni, wafanyakazi na wanajamii kwa wiki moja, ...