ข่าวสาร
Tangu wakati huo, EAC imepanuka na sasa inajumuisha pia nchi za Rwanda, Burundi, Sudan Kusini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya ...
Mamlaka za Tanzania zimesisitiza kuwa kitambulisho cha Taifa cha Tanzania kinachotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), pasi ya Kusafiria ya Tanzania na cheti cha kuzaliwa ...
Kufungiwa kwa mwamuzi huyo kunakuja katika kipindi ambacho baadhi ya mechi za Ligi Kuu zimekuwa zikikumbwa na lawama kutoka ...
Simba inashika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na pointi 72. Dar es Salaam. Utovu wa nidhamu wa mashabiki ...
Vilio na simanzi vimetawala katika mazishi ya wanandoa Geofrey Motta (60) na Blandina Ngowi (53) waliouawa kikatili nyumbani ...
Kamisheni ya Bonde la Ziwa Victoria (LVBC) inatarajia kufanya utafiti wa maji ya Ziwa Victoria ili kujua ubora wake ...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ameanza ziara ya mikoa ya kanda ya kaskazini ...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amelielekeza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuanza kudhibiti ubora wa bidhaa moja kwa moja viwandani badala ya kusubiri bidhaa kukamilika kwa ajili ya ukaguzi.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amewapongeza watendaji wa Wizara ya Nishati na taasisi zake akisema zinaendelea kuimarisha utendaji kazi.
Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) imeingia mkataba na mkandarasi mzawa wa Kampuni ya Samota Limited kujenga mradi wa skimu ...
Kabendera ametambulishwa mbele ya waandishi wa habari na Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Bara, Aman Golugwa, makao makuu ...
Ni safari ya kujijenga upya kwa msingi wa uwajibikaji, ubunifu, na ufanisi iliyoibua taasisi ambayo sasa ni miongoni mwa ...
ผลลัพธ์บางรายการถูกซ่อนไว้ เนื่องจากคุณอาจไม่สามารถเข้าถึงได้
แสดงผลลัพธ์ที่ไม่สามารถเข้าถึงได้