Notizie

Pacha walioungana, Abby na Brittany Hensel wametumia zaidi ya miaka 30 ya maisha yao wakiishi kwa mshikamano wa kipekee, ...
Licha ya kuenea kwa elimu kuhusu madhara ya kiafya yatokanayo na nishati chafu za kupikia, bado familia nyingi nchini ...
Watu 79 wakiwemo watoto 19, wamefariki dunia baada ajali ya basi iliyotokea katika jimbo la Herat, kaskazini magharibi mwa ...
Shirika la World Vision Tanzania limetimiza miaka 20 ya kutoa huduma za afya kwa watoto na jamii wilayani Nzega, mkoani ...
Shirika la Huduma za Elimu la Aga Khan (AKES) kwa kushirikiana na Benki ya DTB limetoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi ...
Serikali imetoa zaidi ya Sh900 milioni kwa ajili ya kukarabati na kuboresha miundombinu na majengo ya Hospitali ya Mji wa ...
Katika kutatua changamoto za watu wenye ulemavu, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imetaja hatua inazochukua ikiwa ni ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amethibitisha kushikiliwa kwa watuhumiwa ambao walibainika kufuatia ...
Mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah ameibuka mshindi wa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka ya Ligi Kuu England inayotolewa ...
Tume hiyo imesisitiza kuwa dira hiyo siyo ya Serikali peke yake, bali ni mwongozo wa pamoja wa kujenga mustakabali wa Taifa ...
Mashindano hayo yaliyofikia awamu ya 12, yamewaleta pamoja viongozi wa makampuni, wafanyakazi na wanajamii kwa wiki moja, ...
Uchaguzi ni njia ya msingi ya kidemokrasia inayotumiwa na kundi la watu, jamii au taifa kuchagua viongozi wanaoaminiwa kuwa ...